Kazi Kichizi is a new and innovative employment service in Tanzania, linking talented creative minds to employers, work opportunities and assignments. From film to web design, fine arts to theatre and animation to music, Kazi Kichizi has it all.

Are you a business looking for creative expertise? You can post job vacancies and assignments for the candidates to browse through, and you can also search through the available Kazi Kichizi talent registered to the site to find the perfect candidate for you.

This way, the Kazi Kichizi website operates as an efficient and unique matchmaker.Kazi Kichizi ni huduma mpya na ya kisasa inayounganisha watu wenye vipaji mbalimbali na waajiri, pamoja na nafasi za kazi zinazopatikana Tanzania. Kuanzia kwenye filamu hadi kutengeneza tovuti,sanaa na usanii, uchoraji katuni hadi kwenye muziki, Kazi Kichizi inakupatia yote hayo!

Je,wewe ni mfanyabiashara na unatafuta vijana wenye vipaji vya hali ya juu? Tunakupa nafasi ya kutuma nafasi za kazi na majaribio kwa mahusika wetu kuzipitia, na zaidi uanapata uhuru wa kupitia wasifu wa wahusika wenye vipaji wa Kazi Kichizi walioorodheshwa kwenye tovuti yetu ili kumpata muhusika bora unayemtafuta.

Kwa namna hii, tovuti ya Kazi Kichizi inafanya kazi kwa hali ya juu na namna ya kipekee ya kukuunganisha pande hizi mbili!


NEWS

Kazi Kichizi Forum

Introducing a new and innovative employment service in Tanzania, that links talented creative minds to employers and work opportunities.

Lengo kuu ni kutambulisha huduma mpya na ya kisasa ya kuajiri, itakayowakutanisha waajiri na wenye nafasi za ajira pamoja na vijana wenye vipaji vya hali ya juu.

10 December 2010 -1 p.m.
- Alliance Française
- Upanga
- Ali Hassan Mwinyi Road
- Dar es Salaam [behind/nyuma ya Las Vegas Casino]

Copyright © 2010 Kazikichizi Inc. All rights reserved.    |    Contact    |    Powered by M-Work